Tuesday, March 25, 2014

Kumbukumbu ya Miaka 20 ya Marehemu Balozi Daniel Narcis Mtonga Mloka



Kaburi  alimozikwa Marehemu Balozi Daniel Mloka. Mwaka huu ni miaka 20 tangu afariki na kuzikwa kijijini kwao Matombo, Morogoro. Balozi Mloka atakumbukwa kwa kuchapa kazi, ukweli na ucheshi wake. Alisimamia aliyoyaamini bila kuyumba. Mwandishi aliyeondoka na kalamu yake na kuacha vitabu vingi vya falsafa nzito kama vile 'Baharia bila Meli.'

No comments: