Friday, March 7, 2014

Mji wa Moshi safi

Kama una tabia ya uchafuuchafu na kusihi usitembelee mji wa Moshi. Mji wa Moshi ni msafi kwa kweli. Nimeambiwa ukionekana kuchafua mazingira kwa njia yoyote ile  lazima utawajibishwe kwa kutozwa kiasi kisichopungua Tshs 50,000/=.Safi sana Mangis!

No comments: