Monday, March 10, 2014

Shabiki wa Yanga - kutoka mji wa Mto wa Mbu-Manyara

Ushabiki wa mpira wa miguu nchini  Tanzania ni wa timu mbili ni Simba na Yanga. Hapa Mto wa Mbu nilimkuta shabiki huyu wa Dar Young Africans. Kwa mtindo huu Mbeya City wana kibarua kikubwa cha kuwa mabingwa wa Tanzania!

No comments: