Tuesday, March 25, 2014

Usafiri- Morogoro-Matombo

Kutokana na kuimarishwa barabara ya Morogoro Matombo. Mabus  mengi husafiri kutoka Morogoro kwenda Matombo kila siku ni safari ya saa moja tu. Hivyo bus linaweza kufanya safari ya kwenda na kurudi kwa siku moja. Pichani ni bus la kutoka Morogoro kwenda Matombo-Tawa likishusha abiria kituoni Kiswira.

No comments: