Friday, March 7, 2014

Treni inapita Juu- Gari chini

Hapa ni maeneo ya Same, Tanzania. Treni inapita juu wakati gari inapita chini. Siku hizi reli ya kaskazini imekufa sijui kama watoto wetu waliozaliwa miaka ya karibuni wanaoishi Same na Mwanga wameshaona treni hasa ya abiria kipita juu ya daraja hilo.

No comments: