Monday, March 10, 2014

Pool Table-Mto wa Mbu

Ingawa mimi sifahamu kucheza na siupendi mchezo huu wa Pool Table nikiwa na imani ni mchezo wa uvivu na wengi wanautumia katika kucheza kamari. Nilipokuwa Mto wa Mbu hivi karibuni  niliingia mahali hapa kupata supu ya kuku na kukuta Pool table pichani.

No comments: