Tuesday, March 4, 2014

Mbagala imeanza kuwa na msongamano wa magari

Huwezi kuepuka msongamano wa magari ukiwa Jiji Dar Es Salaam. Wakazi wa jiji hili wanaotumia barabara ya Kilwa kuelekea Mbagala wameanza kuteseka na msongamano wa magari. Pichani ni kuelekea daraja la Tazara pale Mtoni Mtongani huo ni msongamano wa asubuhi kutoka Mbagala.

No comments: