Thursday, March 6, 2014

Ishika Mshaguley sahani mkononi

Licha ya kuwa na sahani ya vitafunwa mkononi. Bi Ishika Mshaguley alipata nafasi ya kutoa neno, siku ya kuwaaga  Watafiti  ( Mama Mary Lutkamu (Assistant Director; na Mama Eva Kanyeka - Principal Agric. Research Officer I ) wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika waliostaafu hivi karibuni.

No comments: