Thursday, March 27, 2014

Zoezi la kutambua mchumba

Dada wa Bi Harusi mtarajiwa (Ruthgard Mapunda) akiletwa hadharani kutambuliwa na mchumba wake

Kabla ya kukamilisha kulipa mahali ni lazima wachumba kutambuana. Usije ukuuziwa mbuzi kwenye gunia. Ndivyo ilivyokuwa katika shrehe ya kulipa mahali wakati Richard na familia yake walipokuja kutoa mahali ya kutaka kumchumbia Bi Ruthgard Prosper Mapunda wa Yombo, Dar Es Salaam

No comments: