Tuesday, March 4, 2014

Ghorofa Mtoni Mtongani

Jijini Dar unaweza kujenga ghorofa mahali popote upendapo. Kama linavyonekana ghorofa hiyo ambayo ni hotel huko Mtoni Mtongani barabara inayotokeza daraja la TAZARA (la juu). Kando ya ghorofa ni makaburi. Inawezekana kabisa mazishi yakiwa yanaendelea watu walioko Hotelini wanaburudioka kwa muziki. Mipango miji iko wapi?

No comments: