Tuesday, March 25, 2014

Kaburi la Mama Mzazi-Maria Patrick Mchiro

Hapa ndipo alipozikwa  Marehemu mama yangu  Maria Patrick Mchiro a.k.a Binti Jamunda takribani miaka 19 iliyopita. Alizaliwa mwaka 1937 na kufariki mwaka 1995  akiwa na umri wa miaka 58. MUNGU  mrehemu Mama yetu. AMINA

No comments: