Thursday, March 6, 2014

Bi Mary Lutkamu na Eva Kanyeka wafikia umri wa kustaafu

Wafanyakazi wa Idara ya Utafiti na Maendeleo, Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Makao Makuu Dar Es Salaam hawakuamini walipoambiwa kuwa Bi Eva Kanyeka (kushoto) aliyekuwa Mtafiti Mkuu wa Kilimo na Bi Mary Lutkamu aliyekuwa Mkurugenzi  Msaidizi wa Utafiti  Programu Maalum wamefikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria kwani walikuwa wanaonekana  kuwa na nguvu na ari ya kuendelea  na kazi. Tukio hili lilitokea tarehe 17/02/2014 wakati wa ghafla fupi ya kuwaaga wastaafu hao. Katikati ni Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo - Dr. Fidelis Angelo Myaka.

No comments: