Monday, March 10, 2014

Msata njiapanda

Hapa ndipo barabara ya Msata-Bagamayo inapoanza. Mambo yameanza kuchangamka kwelikweli. Wajanja wameshaanza kujenga sehemu za starehe kama vile mabar .

No comments: