Thursday, March 6, 2014

Lema-Nafasi ya kuzungumza

Mtafiti Mkuu Mstaafu Bw. Ninatumbu Mathias Lema wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika alipata nafasi ya kuongea machache kwa wastaafu na wafanyakazi wengine wa Idara ya Utafiti na Maendeleo wakati wa ghafla fupi ya kuwaaga wastaafu akina Mama Eva Kanyeka na Mary Lutkamu kwenye makao Makuu ya Idara hiyo jijini Dar Es Salaam hivi karibuni.

No comments: