Thursday, March 6, 2014

Anavuka kwa usalama

Hapa ni kivuko cha waenda kwa miguu (alama ya pundamilia). Alama hizi imechorwa kwenye barabara nyingi hasa mijini lakini madereva wengi wahazioni. Ni nadara sana kumuona dereva akifunga breki kuwapisha waenda kwa miguu.

No comments: