Thursday, March 20, 2014

Busu la hongera kwa mwana

Mama mkubwa na mdogo wakimpongeza binti yao Mwajuma Pembe wakati wa hafla fupi ya kumfunda iliyofanyika  kijijini Kisemvule hivi karibuni.

No comments: