Monday, March 10, 2014

Huduma ya Maktaba - KATC




Chuo cha Kilimo KATC kilichoanzishwa kwa ushirikiano wa Tanzania na Japan  kina huduma mbalimbali ikiwemo maktaba safi iliyosheheni kumbukumbu nzuri na nyingi hasa katika kilimo cha mpunga.

No comments: