Thursday, March 6, 2014

Mchepuko barabara ya Bagamoyo -Msata

Barabara ya Bagamoyo kwenda Msata inaendelea kutengenezwa. Sehemu kubwa ya barabara imeshakamilika kwa kiwango cha lami. Sehemu iliyobaki ni ile iliyopo kwenye bonde la mto Ruvu ambalo madaraja yanaendelea kujengwa na sehemu ya bonde kujazwa kifusi.Barabara hii ikikamilika itapunguza msongamano wa magari kwa barabara ya Morogoro. Na magari mengi ya kwenda mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Manyara na Arusha hayatakuwa na sababu ya kupitia Chalinze

No comments: