Monday, March 10, 2014

Powertillers kazini

Hivi Watanzania tumesahau vuguvugu la matumizi ya power tillers? Agizo la Waziri Mkuu la kuzitaka Halmashauri za Wilaya kuwa na Powertillers 50 limeishia wapi? Tathmini ya Powertillers toka zianze kutumika imeshafanyika? Nikiwa safarini kikazi bado naziona Powertillers zikitumika kwa matumizi mbalimbali. Nyingine zinafua umeme na nyingine zimegeuzwa kuwa vyombo vya usafiri!

No comments: