Friday, March 7, 2014

Ubao wa matangazo- KATC-Moshi

Ukitembelea Chuo cha Kilimo cha KATC-Moshi  utakuta ubao huu wa matangazo. Unaweza kupata unachotaka hata pasipo kumuona mkuu wa Chuo kila kitu kiko wazi kabisa kwa manufaa ya wadau.

No comments: