Thursday, March 27, 2014

Richard anamtambua mchumba wake Ruthgard Mapunda

Raha ilioje unapoletewa chaguo lako na kujihakikishia  na mchumba kuonyesha furaha, hali ya kukubaliwa. Hongera Richard na Ruthgard kwa kuanza mchakato wa ndoa.  Picha ndogo juu - Ruthgard Prosper Mapunda alipokuwa mdogo.

No comments: