Thursday, March 6, 2014

Kituo cha Mzani- Msata bila msongamano wa magari

Kuna tofauti kubwa ya msongamano wa mgari katika kituo cha mzani cha Msata barabara ya Chalinze Segera  na kile cha Mikese barabara ya Morogoro.  Hii imeakaje?

1 comment:

kigunizi said...

Magari mengi ya mizigo yanayoelekea nchi jirani lazima yapime Mikese.Njia ya Chalinze /Segela mabasi ya abiria ni mengi kuliko ya mizigo