Monday, March 31, 2014

Mafunzo kazini

Wizara na Taasisi zake hapa nchini hutenga bajeti ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wake kwa lengo la kuleta tija katika utendaji kazi. Pichani wanafunzi na walimu wao kutoka Taasisi ya Taifa ya Tija (NIP) mara baada ya kuhitimu mafunzo  mwezi Machi 2014 kituo cha Tushikamane mjini Morogoro. Bi Halima Yusufu wa Idara ya Utafiti na Maendeleo kituo cha Utafiti wa Kilimo Tanga  (wa tatu kutoka kulia waliosimam a mstari wa mbele) ni mmoja wa wanufaika wa mafunzo kazini aliyegharamiwa na mradi wa EAAPP. HONGERA. 

No comments: