Monday, March 31, 2014

Petty Mloka kanisani Matombo

Petty Mloka (kushoto) akifuatilia kwa makini ibada ya Misa takatifu  ya kumuombea baba yake Balozi Daniel Mloka miaka 20 tangu aiage dunia hii. Kumbukumbu ilifanyika tarehe 22/03/2014 kijijini Matombo, Morogoro kushoto ni mtoto wake Nia .

No comments: