Monday, March 10, 2014

KATC na kilimo cha Mpunga Tanzania

Chuo cha Kilimo cha Kilimanjaro (KATC) kilichoanzishwa kwa kushirikiana Japan kimetoa mchango mkubwa wa kuinua uzalishaji wa mpunga hapa nchini kupitia mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa wakulima na wadau wengine wa kilimo kama inavyoonekana pichani.

No comments: