Monday, March 31, 2014

Sehemu ya kufanya kitubio kanisani Matombo

Ndani ya Kanisa Katoliki Parokia ya Matombo kuna chombo mahususi kilichotengenezwa kwa kutoa kitubio kwa waumini. Kitubio ni kitu cha siri kati yako na Padri. Padri anamwakilisha  mwenyezi Mungu. Wakati huu wa Kwaresima wangapi tumeshafanya kitubio? Je tumeshakuwa na nia makusudi ya kuwaomba tuliowakosea watusamehe? Tafakari.

No comments: