Thursday, March 6, 2014

Omari Dino 'asaini' Simba

Huwezi kuamini- Omari Dino (anayeandika) kutoka Kisemvule, wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. 'amesaini'  kuichezea  Simba  kwa malipo ya soda mbili. Hafla  hiyo fupi ilifanyika nyumbani kwa Banzi wa Moro huko Kisemvule mbele ya mashahidi Jabir (anayecheka) pamoja na Peter Mkude   mwenye jezi ya Simba aliyesimamia zoezi hilo. Omari Dino ni mtoto wa shabiki mkubwa wa Dar Young Africans  anayeishi Kisemvule-Mkuranga.

No comments: