Thursday, March 6, 2014

Emmanuel Munda kidole shavuni

Ukiona mtu ameweka kidole shavuni na huku akiwa makini ujue kinachongolewa kimemgusa. Ndivyo alivyoonekna Afisa Utumishi wa Idara ya Utafiti na Maendeleo Bw. Emmanuel Munda wakati wa ghafla fupi ya kuwaaga Watafiti Bi Mary Lutkamu na  Bi Eva Kanyeka waliostaafu kwa mujibu wa sheria hivi karibuni. Watafiti hao wameitumikia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa takaribani miaka 30.

No comments: