Monday, March 10, 2014

Wakulima wa Mto wa Mbu mafunzoni


Mwishoni mwa mwezi Februari 2014 nilikuwa Mto wa Mbu kikazi. Hapa nilitoa mafunzo kwa wakulima kuhusu mapatano katika manunuzi hasa ya mbegu bora ya mpunga. Pichani niko na wakulima na wadau wengine walioshiriki mafunzo hayo.

No comments: